Mkuu wa Operesheni na Mafunzo, Brigedi ya Magharibi, Jeshi la Ulinzi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kanali Wilbert A. Ibuge akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa weledi katika kuandika na kuripoti habari zinazohusu Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) yanayoendelea mjini Morogoro leo Julai 12, 2019 ikiwa ni siku ya pili ya mafunzo hayo kwa kundi la pili la waandishi hao.
Sehemu ya washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari ili
waweze kutekeleza majukumu yao kwa weledi katika kuandika na kuripoti habari
zinazohusu Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika yanayoendelea mjini
Morogoro leo Julai 12, 2019 ikiwa ni siku ya pili ya mafunzo hayo
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari- MAELEZO Bi. Zamaradi Kawawa
akizungumza wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari ili
waweze kutekeleza majukumu yao kwa weledi katika kuandika na kuripoti habari
zinazohusu Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) yanayoendelea mjini
Morogoro leo Julai 12, 2019 ikiwa ni siku ya pili ya mafunzo hayo kwa waandishi hao.Mmoja wa washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari ili
waweze kuandika na kuripoti habari za SADC kwa weledi Bw. Henry Mabumo akieleza
jinsi Tanzania inavyoweza kunufaika na Jumuiya hiyo kupitia fursa zilizopo katika nchi
wanachama, hayo yamejiri leo Julai 12, 2019 mjini Morogoro wakati wa siku ya pili ya
mafunzo kwa waandishi hao.
Katibu Mkuu mstaafu Balozi Hebert Mrango akisisitiza jambo wakati wa
mafunzo kwa kundi la pili la waandishi wa habari wanaojengewa uwezo ili waweze wa
kuandika na kuripoti habari za nchi wanachama wa SADC, hayo yamejiri mjini
Morogoro Julai 12, 2019 ambapo mafunzo ya kundi la pili kwa waandishi hao
yanafanyika kwa siku tatu.
Katibu Mkuu mstaafu Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Mussa Uledi akijibu hoja
mbalimbali za waandishi wa habari walioshiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo
waandishi wa habari ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa weledi katika kuandika
na kuripoti habari zinazohusu Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC)
yanayoendelea mjini Morogoro leo Julai 12, 2019 ikiwa ni siku ya pili ya mafunzo
hayo.
No comments:
Post a Comment