Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais
Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa walipokutana kwenye
Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu
(International Association of Special Education (IASE) leo Julai
15,2019 katika Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU)
Magamba Wilayani Lushoto Mkoani Tanga kwenye Ufunguzi huo Makamu wa Rais
amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano
Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu (International
Association of Special Education (IASE)wakimsikiliza Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa
akifungua Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu
(International Association of Special Education (IASE) leo Julai 15,2019
katika Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU) Magamba
Wilayani Lushoto Mkoani Tanga. . Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. (Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Baadhi ya
Washiriki wa Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu
(International Association of Special Education (IASE) leo Julai
15,2019 katika Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU)
Magamba Wilayani Lushoto Mkoani Tanga wakati wa Ufunguzi wa Mkutano huo.
Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. John Pombe.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu Mkuu
wa Chuo Kikuu cha kumbukumbu Sabastian Kolowa kanda ya Afrika Bishop
Dkt. Stephen Munga wakati wa Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa
Taasisi ya Kimataifa ya Elimu (International Association of Special
Education (IASE) leo Julai 15,2019 katika Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya
Sebastian Kolowa (SEKOMU) Magamba Wilayani Lushoto Mkoani Tanga kwenye
Ufunguzi huo Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe.
No comments:
Post a Comment