Thursday, July 18, 2019

AIR TANZANIA YATUA MUMBAI, INDIA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Injinia Isaack Kamwelwe akiwa ndani ya ndege ya Air Tanzania ikiwa ni safari ya kwanza kwa ndege za Air Tanzania kutoka nje ya Bara la Afrika na ni safari ya moja kwa moja kutokea Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.Ndege ya kwanza ya Air Tanzania ilindoka Julai 17, 2019 kuelekea Mumbai, nchini India na kutua majira ya saa 10alfajili.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Injinia Isaack Kamwelwe akisalimiana na abiria.

No comments:

Post a Comment