WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YAOMBA KUIDHINISHIWA BAJETI YA SHILINGI TRILIONI 11.94 MWA 2019/2020
Waziri wa Fedha na Mipango,
Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Makadirio ya Mapato na
Matumizi ya shilingi trilioni 11.94 ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha
2019/2020, Bungeni Jijini Dodoma.
Baadhi ya Wakuu wa Idara na
Taasisi zilizochini ya Wizara ya Fedha na Mipango wakimsikiliza Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (hayupo
pichani), akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya shilingi
trilioni 11.94 ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, Bungeni
Jijini Dodoma.
aadhi ya Wakuu wa Idara na
Taasisi zilizochini ya Wizara ya Fedha na Mipango wakimsikiliza Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (hayupo
pichani), akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya shilingi
trilioni 11.94 ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, Bungeni
Jijini Dodoma
Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania, Prof. Florens Luoga (kushoto). Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Fedha na Mipango, Dkt. Khatibu Kazungu (katikati) na Kamishna wa Fedha
za Nje wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. John Rubuga, wakifuatilia
mawasilisho ya Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango
yaliyowasilishwa Bungeni Jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango,
Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb).
Baadhi ya Wakuu wa Idara na
Taasisi zilizochini ya Wizara ya Fedha na Mipango wakimsikiliza Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (hayupo
pichani), akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya shilingi
trilioni 11.94 ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, Bungeni
Jijini Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango,
Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akiteta jambo na Naibu Waziri wa
Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji, baada ya kuwasilishwa kwa Hotuba ya
Bajeti ya Wizara ambapo imeliomba Bunge kuidhinisha kiasi cha shilingi
trilioni 11.94 kwa ajili yamatumizi ya kawaida na maendeleo kwa mwaka wa
fedha 2019/2020.
Waziri wa Fedha na Mipango,
Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango
Dkt. Ashatu Kijaji, wakifuatilia kwa makini michango ya Wabunge
wakijadili Hotuba ya Bajeti ya Wizara ambapo Wizara imeliomba Bunge
kuidhinishiwa kiasi cha shilingi trilioni 11.94 kwa ajili yamatumizi ya
kawaida na maendeleo kwa mwaka wa fedha 2019/2020.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano-Wizara ya Fedha na Mipango
No comments:
Post a Comment