RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI WA UTURUKY NCHINI TANZANIA NA UJUMBE WAKE IKULU ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa
Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davutaglu, alipofika Ikulu Zanzibar na
Ujumbe wa Kampuni ya Okan kutoka Nchini Uturuki.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa
Uturuki Nchini Tanzania kushoto Mhe. Ali Davutaglu,Mwenyekiti wa Kampuni
ya Okan, Bwa. Bekir Okan na Ugur Erkray, wakiwa katika mazungumzo hayo
yaliofanyika Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mwenyekiti wa
Kampuni ya Okan ya Uturuki Bwa. Bekir Okan na Balozi wa Uturuki Nchini
Tanzania Mhe. Ali Davuttaglu, baada ya kumaliza mazungumzo yao
yaliofanyika Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment