Wednesday, June 19, 2019

WAKALA WA VIPIMO WAKAMATA WANAOCHEZEA MIZANI MKOANI MWANZA

Picha zikiwaonyesha Watuhumiwa wakiwa na mizani waliyoichezea ili kuwaibia wakulima  katika mkoa wa Mwanza kwenye vyama vya msingi vya kuuzia Pamba ya wakulima

Mkurugenzi wa ufundi Wakala wa vipimo Bi. Stella Kahwa akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari  jinsi walivyokamata watuhumiwa wa kuchezea mizani kwa ajili ya kuwaibia wakulima wa Pamba

Watuhumiwa wakiwa chini ya ulinzi mara baada ya kukamatwa kwa kuchezea mizania kwa lengo la kuwaibia wakulima wa Pamba Mkoani Mwanza.

Watuhumiwa wakiwa wameshikilia  mizani waliyoichezea ili kuwaibia wakulima wa Pamba Mkoani Mwanza.

Waandishi wa habari kutoka Vyombo mbalimbali wakiwa wanachukua picha za watuhumiwa wa mizani waliyoichezea kwa lengo la kuwaibia wakulima wa Pamba Mkoani Mwanza.

Watuhumiwa wakiwa ndani ya gari mara baada ya kukamatwa  wakiwa wamechezea mizani kwa lengo la kuwaibia wakulima wa Pamba Mkoani Mwanza.

Meneja wa Wakala wa vipimo mkoani Mwanza Bw. Kajungu akiwaonesha waandishi wa habar jinsi viongozi wa vyama vya msingi walivyokamatwa na mizani inayowaibia wakulima na kueleza kuwa   leo hiiwa wanapelekwa polisi ili wachukuliwe hatua zaidi na kuwa fundisho kwa wengine

No comments:

Post a Comment