RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA WAKUBWA KUTOKA KATIKA WILAYA ZOTE NCHINI PAMOJA NA WAJUMBE WA BARAZA LA BIASHARA LA TAIFA TNBC IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyabiashara
Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la
Biashara la Taifa TNBC katika Kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa
Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Flash Disk
ambazo zina majina na orodha ya Makampuni 17447 ambayo yamekuwa
yakifanya udanganyifu ikiwemo ukwepaji wa kodi, Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Kitabu chenye majina
na orodha ya Makampuni 17447 ambayo yalisajiliwa BRELA lakini yamekuwa
yakifanya udanganyifu na ukwepaji wa kodi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi John Kijazi wakati wakisikiliza hoja mbalimbali zilizokuwa
zikitolewa na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini
pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC katika Ukumbi wa
Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Biashara
la Taifa TNBC pamoja na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya
zote nchini wakiwa katika Kikao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika
Wilaya mbalimbali nchini wakichangia hoja mbalimbali katika Kikao chao
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment