RAIS DKT. MAGUFULI AAGANA NA RAIS WA DRC MHE. THISEKEDI ALIYEHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo baada ya kuhitimisha
ziara yake rasmi ya siku mbili jijini Dar es salaam leo
Juni 14, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo
anayeagana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
afrika Mashariki Mhe. Faraji Kasidi Mnyepe baada ya kuhitimisha ziara
yake rasmi ya siku mbili jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na
Usalama pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda wakati
wakisumbiri ili kumuaga mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo baada ya kuhitimisha
ziara yake rasmi ya siku mbili jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo
anayeagana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Mhe. Profesa palagamaba Kabudi baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya
siku mbili jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo
anayeagana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili leo Juni 14, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiagana kwa furaha na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya
Kidemokrasia 54 ya Congo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku mbili leo Juni
14, 2019
No comments:
Post a Comment