TANZANIA NA NAMIBIA ZATILIANA SAINI TAMKO LA PAMOJA LA MASHIRIKIANO KATIKA MASUALA MBALIMBALI
Profesa Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Mhe. Netumbo Nandi –
Ndaitwah Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na
Ushirikiano wa Namibia wakitia saini tamko la pamoja la mashirikiano
kuhusu masuala mbalimbali baina ya na Namibia Mjini Windhoek,Namibia May
28,2019.
Profesa Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Mhe. Netumbo Nandi –
Ndaitwah Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na
Ushirikiano wa Namibia wakibadilishana nyaraka baada ya kutia saini
tamko la pamoja la mashirikiano kuhusu masuala mbalimbali baina ya
Tanzania na Namibia Mjini Windhoek,Namibia May 28,2019.
Profesa Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki (Mb) pamoja na Mhe. Netumbo Nandi
–Ndaitwah Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na
Ushirikiano (Mb) wa Namibia wakionesha kwa waandishi wa habari nyaraka
za tamko la pamoja la mashirikiano kuhusu masuala mbalimbali baina ya
Tanzania na Namibia walizotia saini Mjini Windhoek,Namibia May 28,2019
Profesa Palamagamba John Kabudi Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Mhe. Netumbo Nandi –
Ndaitwah Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Mahusiano ya Kimataifa na
Ushirikiano waNamibia wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutia saini
na kubadilishana nyaraka za tamko la pamoja la mashirikiano kuhusu
masuala mbalimbali baina ya Tanzania na Namibia walizotia sainiMjini
Windhoek,Namibia May 28,2019. Kushoto ni kaimu balozi wa Tanzania Nchini
Afrika ya Kusini anayesimamia pia Namibia Bw. Richard Lupembe na kulia
ni Balozi wa Namibia nchini Tanzania Theresia Samaria.
No comments:
Post a Comment