RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI PAMOJA NA RAIS WA NAMIBIA MHE. DKT. HAGE GEINGOB WAZINDUA MTAA WA HAYATI BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE KATIKA JIJI LA WINDHOEK NCHINI NAMIBIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimweleza Mwenyeji wake Rais wa
Namibia Mheshimiwa Dkt. Hage Geingob alichokiandika kwenye kitabu cha
kumbukumbu kwa Lugha ya Kiswahili Katika kuhakikisha Kiswahili
kinatangazwa kimataifa mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Jijini
Windhoek Nchini Namibia.Mei 27, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa na mwenyeji wake
Rais wa Namibia Mheshimiwa Dkt. Hage Geingob kuashiria uzinduzi rasmi wa
mtaa Julius K. Nyerere ulipo katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia.Mei
27, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa mwenyeji wake Rais wa Namibia
Mheshimiwa Dkt. Hage Geingob alipokuwa akimuonyesha Makongoro Nyerere
mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere mtaa mpya unaoitwa
JULIUS K. NYERERE uliopo katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia.Mei 27,
2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi na mwenyeji wake Rais
wa Namibia Mheshimiwa Dkt. Hage Geingob mara baada ya kuzindua mtaa
mpya wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere unaoitwa JULIUS
K. NYERERE uliopo katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia.Mei 27, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na mwenyeji wake Rais
wa Namibia Mheshimiwa Dkt. Hage Geingob mara baada ya kuzindua mtaa mpya
wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere unaoitwa JULIUS K.
NYERERE uliopo katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia.Mei 27, 2019
Mtaa mpya wenye jina Hayati Baba wa Taifa
Mwalimu Julius K. Nyerere unaoitwa JULIUS K. NYERERE ukifunuliwa rasmi
mara baada ya kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Namibia
Mheshimiwa Dkt. Hage Geingob katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia. Mei
27, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi na mwenyeji wake Rais wa
Namibia Mheshimiwa Dkt. Hage Geingob wakati wa hafla ya kuzindua mtaa
mpya wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere unaoitwa JULIUS
K. NYERERE uliopo katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia. Mei 27, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza Watanzania wanaoishi
Namibia mara baada ya kuzindua mtaa mpya wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu
Julius K. Nyerere unaoitwa JULIUS K. NYERERE uliopo katika Jiji la
Windhoek Nchini Namibia.Mei 27, 2019
No comments:
Post a Comment