MAJALIWA AMWAKILISHA JPM KATIKA SHEREHE ZA KUMWAPISHA RAIS WA MALAWI PROFESA ARTHUR MUTHARIKA
Waziri Mkuu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na , Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Malawi, Ben
Botolo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Chileka uliopo
Blantyre Malawi kumwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika
sherehe za kumwapisha Rais wa Malawi, Profesa Arthur Peter Mutharika,
Mei 31, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana
na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Malawi, Bw. Ben Botolo
wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Chileka uliopo Blantyre
nchini Malawi kuwakilisha, Rais Dkt John Pombe Magufuli katika sherehe
za kumwapisha Rais wa Malawi, Profesa, Arthur Peter Mutharika, Mei 31,
2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza
Rais wa Malawi, Profesa Arthur Peter Mutharika wakati Rais huyo
alipohutubia baada ya alipoapishwa kwenye Uwanja wa Kamuzu mjini
Blantyre, Mei 31, 2019. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais Dkt John
Pombe Magufuli katika sherehe za kumwapisha Rais huyo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana
na Rais wa zamani wa Malawi, Bakili Muluzi katika sherehe za kumwapisha
Rais wa Malawi Profesa Arthur Peter Mutharika zilizofanyika kwenye
uwanja wa Kamuzu mjini Blantyre, Mei 31, 2019
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment