Wednesday, February 20, 2019

HAKI ARDHI YAENDESHA MAFUNZO KWA WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA HAKI ZA ARDHI NA MABADILIKO YA TABIANCHI

 Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti na Utetezi wa Haki za Ardhi (Haki Ardhi) Bw. Cathbert Tomitho akielezea kwa kina juu ya mfumo wa utatuzi wa migogoro ya ardhi.
Ofisa Programu wa Taasisi ya Utafiti na Utetezi wa Haki za Ardhi (Haki Ardhi) Bw. Joseph Chiombola akitoa mada juu ya Sheria za ardhi kwa wanawake.
Bw. Nuhu Kitaluka akitoa mada juu ya mabadiliko ya Tabianchi, athari zake kwa wazilishaji wadogo wadogo katika kilimo,ufugaji na afya pia alitoa mifano kutoka wilaya za Morogoro na Mufindi

Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa wahariri na waandishi wa Habari juu ya haki za ardhi na mabadiliko ya Tabianchi
Bw. Samson Mollel akielezea mbinu shirikishi za kukabiliana na athari za mabadiliko ya Tabianchi vijijini
Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment