RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiagana
na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Abeid Amani Karume, wakati akielekea
Nchini Kenya kwa ziara ya Kiserikali kuhudhuria mkutano wa Uchumi wa Bahari,
ambapo anamuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe
Magufuli.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).
Sunday, November 25, 2018
RAIS SHEIN KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI MKUTANO WA UCHUMI WA BAHARI NCHINI KENYA
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiagana
na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, wakati akielekea Nchini Kenya kwa
ziara ya Kiserikali kuhudhuria mkutano wa Uchumi wa Bahari, ambapo
anamuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe
Magufuli.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiagana
na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Salum Maulid
Salum katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Abeid Amani Karume, wakati akielekea
Nchini Kenya kwa ziara ya Kiserikali kuhudhuria mkutano wa Uchumi wa Bahari,
ambapo anamuakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe
Magufuli.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiagana
na wakuu wa Vikosi vya ulinzi na usalama katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
Abeid Amani Karume, wakati akielekea Nchini Kenya kwa ziara ya Kiserikali
kuhudhuria mkutano wa Uchumi wa Bahari, ambapo anamuakilisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.(PICHA NA HAROUB HUSSEIN).
No comments:
Post a Comment