Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa, jana akiwa njiani kuelekea uwanja wa ndege wa Chato baada ya
kumaliza ziara yake ya kikazi mkoani Geita, alisimama katika eneo la Katoro
kusalimiana na wananchi.
Miongoni mwa
viongozi waliopewa nafasi kusalimia ni pamoja na mbunge wa Geita Vijijini,
Joseph Kasheku “Msukuma” ambaye alitumia fursa hiyo kumuuliza swali Naibu
Waziri wa Madini, Doto Biteko. Tazama Video hapa chini
Na George Binagi-GB Pazzo
No comments:
Post a Comment