Mgombea udiwani Kata ya Kimara Jijini Dar es salaam Mhe Manota Paschal Melkiadi amepita bila kupingwa baada ya wagombea wa vyama vingine kukosa sifa za kuteuliwa kugombea kwa kutokamisha viapo vyao kwa kujibu wa sheria na pia wengine hawajatambulishwa kwa msimamizi wa uchaguzi na viongozi wao wanaotambulika kwa mujibu wa sheria za Tume.
Mathias Canal
No comments:
Post a Comment