WaTanzania wa DMV wakiwasili kwenye futari ya pamoja inayoandaliwa na Jumuiya ya Kiislamu DMV(TAMCO) wakati wa mfungo wa mwezi wa ramadhan. Hii ilifanyika siku ya Jumamosi June 9, 2018 Silver Spring, Maryalnd. Picha na Vijimambo na Kwanza production chini ya udhamini wa Kilimanjaro Studio.
WaTanzania waliojumuika pamoja na marafiki zao wakipata ukodak moment kwenye futari ya pamoja.
Rich Maka kutoka Massachusetts (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa TAMCO DMV Ally Mohammed wakati wakisubili muda wa futari ufike.
No comments:
Post a Comment