Mkuu wa wilaya ya Geita Mwl,Herman Kapufi ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Wilayani ,Humo akiimba wimbo wa Taifa mala baada ya kuwasili kwenye viwanja hivyo. |
Baadhi ya viongozi wa serikali pamoja na kamati ya ulinzi na usalama wilayani humo wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa zoezi la kufunga mafunzo ya jeshi la akiba(Mgambo). |
Baadhi ya askari wa jeshi la akiba wakijiandaa kupita mbele ya mgeni rasmi kwaajili ya kutoa heshima. |
Moja kati ya viongozi wa Gwaride akiongoza askari wa Mgambo wakati walipokuwa wakitoa heshima kwa mwendo wa taratibu mbele ya mgeni rasmi. |
Mkuu wa Wilaya ya Geita akitazama shughuli na burudani ambazo zilikuwa zikifanyika wakati wa zoezi hilo. |
Gwaride likipata kwa mwendo wa taratibu mbele ya mgeni rasmi. |
Mkuu wa Wilaya ya Geita pamoja na viongozi wengine wakiwa wamesimama wakati Gweride lilipokuwa likipita mbele kwaajili ya kutoa heshima. |
Makomandoo wa jeshi la akiba wakionesha namna ambavyo wamehiva kwenye suala la kupamba na adui. |
Baadhi ya wananchi wakifuatilia maonesho ambayo yalikuwa yanafanywa na jeshi la akiba. |
Mkuu wa Wilaya ya Geita,Mwk Herman Kapufi akiwatunuku vyeti baadhi ya askari wa mgambo ambao wamehitimu mafunzo. |
Mshauri wa jeshi la akiba wilayani Geita Luteni Kanali ,Daud Issah Mnyanga akimkaribisha mgeni rasmi wakati wa shughuli za kuwaaga askari wa jeshi la akiba. |
Mkuu wa Wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi akiwahutubia baadhi ya askari ambao wamefudhu mafunzo hayo. |
<!--[if gte mso 9]>
No comments:
Post a Comment