Mkuu wa Wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufu akishiriki zoezi la ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Kasota. |
Wananchi wakishiriki zoezi zima la ujenzi wa zahanati. |
Mganga Mkuu wa wilaya ya Geita,Dkt Raphael Mhina akishiri zoezi la ujenzi wa zahanati kwenye kijiji na kata ya Kasota. |
Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Luhumbi akisisitiza wananchi kuendelea kujitokeza kwenye shughuli za maendeleo. |
Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Luhumbi akishiriki ujenzi wa madarasa shule ya msingi Ludete(Picha na Joel Maduka) |
No comments:
Post a Comment