Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakipeana mikono baada ya Rais
kufungua rasmi barabara ya Kyaka-Bugene yenye urefu wa Km 59.1 eneo la
Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na waandishi wa habari baada
ya kufungua rasmi barabara ya Kyaka-Bugene yenye urefu wa Km 59.1 eneo
la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na viongozi wengine wakimsaidia
kushika utepe anaoukata kama ishara ya kufungua rasmi barabara ya Kyaka
Bugene yenye urefu wa Km 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa
Kagera leo Novemba 7, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mzee Nekemia Kazimoto
(80) na mkewe Florence Kazimoto baada ya sherehe za kufungua rasmi
barabara ya Kyaka Bugene yenye urefu wa Km 59.1 eneo la Kayanga wilayani
Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijumuika katika sala na Mzee Nekemia
Kazimoto (80) na mkewe Florence Kazimoto na binti yao Lucy Kazimoto
alipomtembelea kumjulia hali baada ya sherehe za kufungua rasmi barabara
ya Kyaka Bugene yenye urefu wa Km 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe
mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
wananchi wa mjini Bukoba waliomsimamisha ili awasalimie wakati akirejea
kutoka Karagwe kwenye sherehe za kufungua rasmi barabara ya Kyaka
Bugene yenye urefu wa Km 59.1 eneo lna Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa
Kagera leo Novemba 7, 2017
Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment