Na Egonano Hussein
M/kiti wa CCM wilaya ya Shinyanga mjini , haitimisha Ziara ya mafunzo kwa mabalozi wa Chama cha matpinduzi ya Siku tatu, ziara hiyo Imezaa matunda Makubwa kwa Mabalozi hawo, nakumpongeza M/kiti ndugu Abubakari mukadamu kwa kuanza vizuri Kuitumikia nafasi hiyo ya uongozi, pia mabalozi wamewapongeza watoe Semina wote kwa Jinsi walivyojipambanua katika uwasilishaji wa Mada walizopangiwa.
M/kiti aliwahasa wajumbe kuendelea kutoa ushilikiano wa Dhati kutoka kwa viongozi wa matawi , kata na wilaya na kuwataka kuwajibu kumuunga mkono Mh.Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania na m/kiti wa chama cha mapinduzi Taifa.
No comments:
Post a Comment