Thursday, October 26, 2017
Madhara ya kutumia dawa za ANTIBIOTICS kiholela
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amezungumza na BMG na kueleza madhara yatokanayo na matumizi ya dawa za kutibu magonjwa yanayosababishwa na bakteria (ANTIBIOTICS) kiholela bila kufuata ushauri wa daktari.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment