Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda,
Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhelm Meru, akizungumza wakati wa Mkutano
wa Msamlaka ya Mapato Tanzania TRA na Wadau wa Shirikisho la wenye
Viwanda nchini CTI, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam, jana. Mkutano huo ulikuwa na lengo la majadiliano kuhusu namna
ya kutatua changamoto mbalimbali ili kufikia Uchumi wa Viwanda wa Kati
pamoja na vikwazo vya ulipaji na ukusanyaji Kodi nchini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda,
Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhelm Meru (katikati) akiwa meza kuu na
Viongozi wa TRA na CTI wakiongoza Mkutano wa Msamlaka ya Mapato Tanzania
TRA na Wadau wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini CTI, uliofanyika
kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, jana. Mkutano huo ulikuwa
na lengo la majadiliano kuhusu namna ya kutatua changamoto mbalimbali
ili kufikia Uchumi wa Viwanda wa Kati pamoja na vikwazo vya ulipaji na
ukusanyaji Kodi nchini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda,
Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhelm Meru, akipongezwa na Mkurugezni
Mtendaji wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini, Leodger Tenga baada ya
kumaliza kuhutubia katika Mkutano wa Msamlaka ya Mapato Tanzania TRA na
Wadau wa Shirikisho la wenye Viwanda nchini CTI, uliofanyika kwenye
Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, jana. Mkutano huo ulikuwa na
lengo la majadiliano kuhusu namna ya kutatua changamoto mbalimbali ili
kufikia Uchumi wa Viwanda wa Kati pamoja na vikwazo vya ulipaji na
ukusanyaji Kodi nchini.
Picha na Muhidin Sufiani
No comments:
Post a Comment