Shirikisho
la soka nchini Hispania (La Liga) limeliandikia barua shirikisho la
soka barani Ulaya (UEFA) wakitoa malalamiko kuhusu ukiukwaji wa sheria
za matumizi Financia Fair Play (FFP) unaofanywa na klabu ya Man City.
Raisi wa La Liga Javier Tebas
alitoa malalamimo kuhusu wamiliki wa klabu ya Manchester City ambao pia
ni wamiliki wa klabu ya PSG kutokana na matumizi makubwa ya kifedha
wanayoyafanya.
Lakini baadaye shirikisho la soka
la UEFA lilitoa majibu kuhusiana na barua iliyoandikwa na Rais wa La
Liga kwa kusema kwamba shirikisho hilo halitaichunguza klabu hiyo na
taarifa nyingine kinyume na hapo ni uongo.
No comments:
Post a Comment