Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara
Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir (kushoto) mara alipowasili katika
Uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa ujenzi wa Soko la Kinyasini Wilaya ya
Kaskazini “A” Unguja leo akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali
mbali ya maendeleo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na
Viongozi mbali mbali mara alipowasili Shehia ya Kinyasini katika
Uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa ujenzi wa Soko la Kinyasini Wilaya ya
Kaskazini “A” Unguja leo akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi mbali
mbali ya maendeleo

Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Wilaya ya
Kaskazini”A” Unguja Hassan Ali mara alipowasili Shehia ya Kinyasini
katika Uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa ujenzi wa Soko la Kinyasini
Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo akiwa katika ziara ya kutembelea
Miradi mbali mbali ya maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia Ujenzi wa Mradi
wa Soko la Kinyasini Wilaya ya Kaskazini”A” Unguja wakati alipofanya
ziara maalum ya kukagua na kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo
katika Mkoa wa Kaskazini Unguja
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria
katika sherehe ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Soko la
Kinyasini Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja wakimasikiliza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani) alipozungumza na Wananchi hao alipofanya ziara ya kutembelea
Miradi ya Maendeleo katika Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipata
maelezo kutoka kwa Mkandarasi wa Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kinyasini
Wilaya ya Kaskazini”A” Unguja Nd,Ali Mbarouk na Mkurugenzi Mkuu wa
Kampuni ya ZECCON CO LTD,wakati alipoweka jiwe la msingi Ujenzi huo leo
alipofanya ziara maalum ya kutembelea Miradi ya Maendeleo,(kushoto)
Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamadi Rashid Mohamed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa
akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Mbyu maji alipofika kuangalia
maendeleo na kupata maelezo mafupi juu ya huduma za jamii,karika Wilaya
ya Kaskazini “A:” Unguja leo alipofanya ziara ,maalum Wilayani humo,
[Picha na Ikulu.] 13/08/2017.
No comments:
Post a Comment