Sunday, August 13, 2017

VIDEO: Msanii mwenye usongo aahidi maajabu na kuonyesha uwezo wake

Moja kati ya wasanii wenye usongo na muziki wa kizazi kipya hapa Bongo ni Helton Dickson. Huyu ni kijana ambaye anatokea pande za Tabora unyamwezini  kwa sasa yupo Dar ndani ya New Talents Tanzania (NTT).

Anaendelea kujinoa zaidi huku akitafuta Management nzuri ya kumsimamia ili aweze kutoboa katika muziki, Hivyo kama wewe ni mdau wa Muziki basi tumia fursa hii kuitazama hii video inayoonyesha uwezo wa kipaji chake Helton. Ushauri na Maoni vinaruhusiwa. Kwa lolote tupigie kwenye 0658161950.

No comments:

Post a Comment