Meneja wa NMB, Kanda ya kati, Straton Chilongola (kushoto)
akimkabidhi msaada wa madawati mkuu wa Wilaya ya Chamwino Vumilia
Nyamoga wakati wa ufunguzi wa tawi la benki ya Nmb, msaada huo wa
madawati una thamani ya shilingi milioni 20.
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Vumilia Nyamoga (watatu katikati) akikata
utepe ikiwa ni ishara ya kufungua rasmi tawi jipya la Benki ya NMB
Chamwino Mkoani Dodoma.
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Vumilia Nyamoga akitoa kitambaa ikiwa ni
ishara ya ufunguzi rasmi wa Tawi jipya la Benki ya NMB la Chamwino
Mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment