Rais
wa Misri Abdel Fattah El-Sisi katikati na Ujumbe aliofuatana nao wakiwa
katika mazungumzo na Viongozi was Serikali ya Jamhuri ya Muungano na
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiongozwa na Rais Dkt.John Pombe
magufuli leo alipokuwa katika ziara ya siku mbili mazungumzo hayo
yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu ya Jijini Dar es Salaam
Mazungumzo
ya Viongozi baina ya Ujumbe wa Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi
(kulia) na Viongozi wa Serikali ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es
Salaam,Rais Abdel Sisi na Ujumbe wake wakiwa nchini kwa ziara ya siku
mbili, [Picha na Ikulu).14/08/2017.
No comments:
Post a Comment