Mbunge wa Jimbo la Chalinze Me Ridhiwani Kikwete amesema kuwa Maendeleo ya Viwanda na uwekezaji yanategemea sana Mazingira Bora yaliyowekwa na Njia sahihi zisizo na mikwamo.
Ameyasema hayo mara baada ya kujionea Mazingira ya uwekezaji wa viwanda katika Ziara ya Taasisi ya Kibunge inayopambana na Magonjwa ya Milipuko na Malaria katika Kiwanda Cha Vyandarua Cha A To Z Mjini Arusha.
No comments:
Post a Comment