Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Salum Maulid Salum, akitoa taarifa kwa
waandishi wa habari juu ya kongamano la nne la kitaifa la Watanzania
wanaoishi nje litakalofanyika tarehe 23 na 24 Agosti hapa Zanzibar.
Hafla hiyo imefanyika Ikulu mjini Zanzibar.

Mkurugenzi wa PPR Pascal Mayalla
akiuliza suali katika mkutano na waandishi wa habari uliozungumzia
Kongamano la kitaifa la Watanzania wanaoishi nje uliofanyika Ikulu mjini
Zanzibar.
Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa
Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi Bi. Adila
Hilali Vuai akijibu masuali yaliyoulizwa na wandishi wa habari kuhusu
maandalizi ya kongamano la kitafa litalofanyika tarehe 23 na 24 Agosti
hapa Zanzibar. (kushoto) Muandishi wa habari Rahma Suleiman wa Chuchu Fm
Redio. Picha na Makame Mshenga.
No comments:
Post a Comment