Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Simon Sirro, akitoa maelekezo kwa Maofisa Wakuu Waandamizi wa Makao
Makuu ya Jeshi la Polisi pamoja na Wakuu wa Vikosi na Vyuo vya Polisi
nchini katika kikao kazi cha maelekezo kilichofanyika leo jijini Dar es
Salaam. Katika kikao kazi hicho IGP Sirro aliwaelekeza Maofisa hao
kufanya kazi kwa weledi ili kuweza kufikia malengo ya Mhe. Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ya kuwa na
Tanzania salama isiyo na uhalifu.
Mkuu wa Utawala wa Makao Makuu ya
Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Leonard Paulo, akitoa ufafanuzi
wa jambo wakati wa kikao kazi cha Inspekta Jenerali wa polisi nchini IGP
Simon Sirro na Maofisa Wakuu Waandamizi wa Makao Makuu ya Jeshi la
Polisi pamoja na Wakuu wa Vikosi na Vyuo vya Polisi nchini
kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam. Katika kikao kazi hicho IGP
Sirro aliwaelekeza Maofisa hao kufanya kazi kwa weledi ili kuweza
kufikia malengo ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli, ya kuwa na Tanzania salama isiyo na uhalifu.
Mkuu
wa Chuo cha Maafisa wa Polisi Kidatu, Kamishna Msaidizi wa Polisi
(ACP) Zarau Mpangule, akitoa mada wakati wa kikao kazi cha Inspekta
Jenerali wa polisi nchini IGP Simon Sirro na Maofisa Wakuu Waandamizi wa
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi pamoja na Wakuu wa Vikosi na Vyuo vya
Polisi nchini kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam. Katika kikao kazi
hicho IGP Sirro aliwaelekeza Maofisa hao kufanya kazi kwa weledi ili
kuweza kufikia malengo ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli, ya kuwa na Tanzania isiyo na uhalifu.
Picha na Jeshi La Polisi
No comments:
Post a Comment