Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa
akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bibi Patrica Baroness
Scotland alipofika Ikulu Mjini Unguja leo akiwa katika ziara ya siku
moja na ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza
na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bibi Patrica Baroness Scotland
alipofika Ikulu Mjini Unguja leo akiwa katika ziara ya siku moja na
ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza
na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bibi Patrica Baroness Scotland
(katikati) alipofika Ikulu Mjini Unguja leo akiwa katika ziara ya siku
moja na ujumbe aliofuatana nao,(kushoto) Balozi wa Tanzania Nchini
Uingereza Dr.Asha-Rose Migiro
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisisitiza
jambo wakati akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bibi
Patrica Baroness Scotland alipofika Ikulu Mjini Unguja leo akiwa na
ujumbe aliofuatana nao katika ziara ya siku moja,

Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana
na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bibi Patrica Baroness Scotland
alipofika Ikulu Mjini Unguja leo akiwa katika ziara ya siku moja na
ujumbe aliofuatana nao
No comments:
Post a Comment