Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk.
Hamisi Kigwangalla ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama mkoa wa
Morogoro kuwakamata mara moja waliokuwa viongozi wa chama cha wakulima
Tanzania TASO kanda ya mashariki kutokana na ubadhirifu wa fedha
walioufanya kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita.
Dk
Kingwangala alitoa agizo hili mara baada ya kupokea taarifa za kutoka
kwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Mh. Dk. Steven Kebwe juu ya walioukuwa
viongozi wa Taso kanda ya Mashariki kushirikiana kuuza baada ya maeneo
kwa wananchi ndani ya uwanja wa maonyesho ya mwalimu Juliaus Nyerere
nanenane ulipo mkoani Morogoro.
Dk.
Kigwangalla ambaye alikuwa mgeni rasmi katika kilele hicho cha Nane
nane akimwakilisha Makamu wa Rais Mama Samia Salum, ameagiza kuchukuliwa
hatua za haraka viongozi hao huku akieleza kuwa kutokana na usajili
wamashirika yasiyokuwa ya kiserikali kuwa ndani ya wizara yake ni, vyema
viongozi hao wakatafutwa na kukamatwa ili waweze kujibu tuhuma
zinazowakabili.
“Kwa
mamlaka, tunawaagiza Mkuu wa TAKUKURU kuhakikisha wanawakamata viongozi
wa TASO haraka ilikuweza kurudisha mali zote ikiwemo walizowauzia
wananchi viwanja ndani ya maeneo haya. Taasisi ama NGO’s zikifilisiwa
mali zote ni za Serikali na zinakuwa chini ya uangalizi wa Serikali
hivyo hatua kali zitachukuliwa kwa wale waote waliohusika” alieleza Dk.
Kigwangalla katika tukio hilo la kufunga kilele cha maadhimisho ya Nane
nane, Kanda ya Mashariki inayohusisha mikoa ya Morogoro, Tanga, Pwani na
Dar e s Salaam, katika Banda la Mwalimu Julius Nyerere.
Dk.
Kigwangalla apia ameweza kutoa zawadi mbalimbali kwa washindi ikiwemo
Vyeti, hundi za fedha pamoja na vikombe vya ushindi kwa taasisi na
mashirika na wadau walioshiriki maonyesho hayo.
Hata
hivyo Dk. Kigwangalla ameongeza siku mbili zaidi kuendelea kwa
maonyesho hayo ambayo yaendelea leo na kesho Alhamisi Agosti 10,2017.
Awali
amepata Dk. Kigwangalla aliweza kutembelea mabanda mbalimbali ndani ya
viwanja hivyo huku akijionea mazao ya kilimo na ufugaji wa kila aina
pamoja na bidhaa zitokanazo na kilimo za wadau wa ndani.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk.
Hamisi Kigwangalla akipokelewa wakati akiwasili viwanja vya maonyesho
ya Nane nane Kanda ya Mashariki inayohusisha mikoa ya Morogoro, Tanga,
Pwani na Dar es Salaam wakati alipokuwa mgeni rasmi kilele cha Nane
nane, 8 Agosti 2017
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk.
Hamisi Kigwangalla akiangalia namna mashine ya kukoboa mahindi ya
kisasa inavyofanya kazi ambayo itakuwa msaada kwa wakulima hapa nchini
kwenye viwanja vya maonyesho ya Nane nane Kanda ya Mashariki
inayohusisha mikoa ya Morogoro, Tanga, Pwani na Dar es Salaam wakati
alipokuwa mgeni rasmi kilele cha Nane nane, 8 Agosti 2017
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk.
Hamisi Kigwangalla akiangalia bidhaa za usindikaji kutoka kwa wakulima
wa ndani hapa nchini kwenye viwanja vya maonyesho ya Nane nane Kanda ya
Mashariki inayohusisha mikoa ya Morogoro, Tanga, Pwani na Dar es Salaam
wakati alipokuwa mgeni rasmi kilele cha Nane nane, 8 Agosti 2017

Hamisi Kigwangalla akiwasabahi baadhi ya watoto waliofika kwenye
kwenye viwanja vya maonyesho ya Nane nane Kanda ya Mashariki
inayohusisha mikoa ya Morogoro, Tanga, Pwani na Dar es Salaam wakati
alipokuwa mgeni rasmi kilele cha Nane nane, 8 Agosti 2017
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk.
Hamisi Kigwangalla akiangalia bidhaa za usindikaji kutoka kwa wakulima
wa ndani hapa nchini kwenye viwanja vya maonyesho ya Nane nane Kanda ya
Mashariki inayohusisha mikoa ya Morogoro, Tanga, Pwani na Dar es Salaam
wakati alipokuwa mgeni rasmi kilele cha Nane nane, 8 Agosti 2017
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk.
Hamisi Kigwangalla akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh.
Ally Hapi kwenye viwanja vya maonyesho ya Nane nane Kanda ya Mashariki
inayohusisha mikoa ya Morogoro, Tanga, Pwani na Dar es Salaam wakati
alipokuwa mgeni rasmi kilele cha Nane nane, 8 Agosti 2017
Baadhi ya viongozi wakiangalia bidhaa za ngozi kutoka kwa Mjasiriiamali kutoka Tanga kwenye maonyesho hayo
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk.
Hamisi Kigwangalla akiangalia mazao ya shambani kutoka kwa wakulima wa
ndani hapa nchini kwenye viwanja vya maonyesho ya Nane nane Kanda ya
Mashariki inayohusisha mikoa ya Morogoro, Tanga, Pwani na Dar es Salaam
wakati alipokuwa mgeni rasmi kilele cha Nane nane, 8 Agosti 2017
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk.
Hamisi Kigwangalla akiangalia mazao ya shambani kutoka kwa wakulima wa
ndani hapa nchini kwenye viwanja vya maonyesho ya Nane nane Kanda ya
Mashariki inayohusisha mikoa ya Morogoro, Tanga, Pwani na Dar es Salaam
wakati alipokuwa mgeni rasmi kilele cha Nane nane, 8 Agosti 2017
Moja ya bwawa la Samaki la kisasa
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk.
Hamisi Kigwangalla akiangalia moja ya mabwawa ya samaki ya kisasa
kutoka kwa wakulima wa ndani hapa nchini kwenye viwanja vya maonyesho
ya Nane nane Kanda ya Mashariki inayohusisha mikoa ya Morogoro, Tanga,
Pwani na Dar es Salaam wakati alipokuwa mgeni rasmi kilele cha Nane
nane, 8 Agosti 2017
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk.
Hamisi Kigwangalla akipata maelezo namna ya upandaji wa mazaoo ya miwa
maalum kwa sukari kutoka kwa wakulima wa ndani hapa nchini kwenye
viwanja vya maonyesho ya Nane nane Kanda ya Mashariki inayohusisha mikoa
ya Morogoro, Tanga, Pwani na Dar es Salaam wakati alipokuwa mgeni rasmi
kilele cha Nane nane, 8 Agosti 2017
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk.
Hamisi Kigwangalla akihutubia katika tukio hilo kwenye viwanja vya
maonyesho ya Nane nane Kanda ya Mashariki inayohusisha mikoa ya
Morogoro, Tanga, Pwani na Dar es Salaam wakati alipokuwa mgeni rasmi
kilele cha Nane nane, 8 Agosti 2017
Baadhi tya viongozi mbalimbali pamoja na wadau wa kilimo wakifuatilia tukio hilo
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk.
Hamisi Kigwangalla akikabidhi vyeti kwa washiriki kwenye viwanja vya
maonyesho ya Nane nane Kanda ya Mashariki inayohusisha mikoa ya
Morogoro, Tanga, Pwani na Dar es Salaam wakati alipokuwa mgeni rasmi
kilele cha Nane nane, 8 Agosti 2017
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk.
Hamisi Kigwangalla akikabidhi kombe la ushindi kwa washiriki kwenye
viwanja vya maonyesho ya Nane nane Kanda ya Mashariki inayohusisha mikoa
ya Morogoro, Tanga, Pwani na Dar es Salaam wakati alipokuwa mgeni rasmi
kilele cha Nane nane, 8 Agosti 2017
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk.
Hamisi Kigwangalla akijadiliana na wadau wa Kilimo hapa nchini kwenye
viwanja vya maonyesho ya Nane nane Kanda ya Mashariki inayohusisha mikoa
ya Morogoro, Tanga, Pwani na Dar es Salaam wakati alipokuwa mgeni rasmi
kilele cha Nane nane, 8 Agosti 2017
No comments:
Post a Comment