Wednesday, July 19, 2017

DC NDEJEMBI AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATA ZA UGOGONI NA LAIKARA

Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe Deo Ndejembi amefanya ziara ya kikazi katika Kata za Ugogoni na Laikara. Katika ziara hio pamoja na mambo mengine , DC Ndejembi alishiriki na wananchi katika uchimbaji msingi wa ujenzi wa madarasa mawili na vyoo katika shule ya msingi Ibwaga na kuweka matofali katika ujenzi wa nyumba ya Mwalimu shule ya Secondary Laikara.

Hapa Kazi Tu

No comments:

Post a Comment