Monday, July 31, 2017

DC MUWANGO ATOA PONGEZI KWA KAMISHNA WA SCOUT WILAYA YA NACHINGWEA KWA MAFUNZO BORA KWA VIJANA WA SCOUT

Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe Rukia Muwango akiwa pamoja na Mwenyekiti wa wakuu wa shule kanda ya kusini (TAHOSA ) na Muwakilishi wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea katika Mapokezi ya Scout ndani ya Hoteli ya Singapore tarehe 30/07/2017.
Vijana wa Scout katika Wilaya ya Nachingwea wakiwa pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe Rukia Muwangokatika Hoteli ya Singapore
Vijana wa Scout katika Wilaya ya Nachingwea wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe Rukia Muwangokatika Hoteli ya Singapore
Vijana wa Scout katika Wilaya ya Nachingwea wakiwa pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe Rukia Muwangokatika Hoteli ya Singapore
Vijana wa Scout katika Wilaya ya Nachingwea wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mapokezi kwao yaliyofanywa na Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe Rukia Muwango katika Hoteli ya Singapore.

Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi Mhe Rukia Muwango amempongeza kamishna wa Scout Wilaya kwa kazi kubwa ya mafunzo bora aliytoyatoa kwa vijana wa Scout katika Wilaya ya Nachingwea.

Pongezi hizo kwa Kamishna wa Scout Wilaya na Kamishna Msaidizi kwa kuwapa mafunzo bora vijana wa Scout kutoka Shule za Wilaya ya Nachingwea na kufanikiwa Kuwakilisha vyema Mkoa wa Lindi hatimaye kufanikiwa kurudi na kikombe na Tuzo.

No comments:

Post a Comment