Sunday, June 25, 2017

JOKATE MWEGELO AWAFARIJI WATOTO YATIMA,AMWAGA MISAADA MINGI SANA KWA AJIRI YA WATOTO HAWA YATIMA

Na: Ramadhani Shabani, Dar es salaam

Ndugu Mtanzania Ni Tumaini Langu Wewe Ni Buheri Wa Afya Na Unaendelea Vyema Na Utumikiaji Wa Taifa Letu Ili Kuweza Kutimiza Shabaha Yetu Kama Taifa Ya Kuifikisha Nchi Yetu Kuwa Na Uchumi Wa Kiwango Cha Katikati.Ndugu Mtanzania Kama Ilivyo Hada Yetu Ya Kukuletea Taarifa Mbalimbali Zinazohusu Kazi Za Kijamii Ambazo Zimekuwa Zikifanywa Na Idara Yetu Ya Hamasa Na Chipukizi Chini Ya Mhe Kaimu Katibu Wa Idara Hii Kwa Sasa Ndugu *Jokate Mwegelo*Ambapo Safari Hii Tumekuletea Hii Kazi Ambayo Imefanywa Na Yeye Pamoja Na Idara Yake.

Ndugu Mtanzania Mhe Jokate Mwegelo Mnamo Siku Ya Jumamosi 24/06/2017 Alitoa Msaada Wake Yeye Pamoja Na Idara Anayoiongoza.Mhe Jokate Alitoa Misaada Yake Kwa Vituo Vya Watoto Yatima Ikiwa Kama Swadaka Yake Ktk Kipindi Hichi Cha Kuelekea Sikukuu Za Eid.Mhe Jokate Mwegelo Alitoa Kilo 250 Za Mchele,Maharage,Unga Pamoja Na Sukari Akiwa Na Nia Ya Kuwafariji Watoto Hao Ktk Kuwafanya Wawe Na Faraja Na Kujisikia Na Wao Wana Tatizo Na Jamii Ipo Pamoja Nao Na Haijawasahahu.Mhe Jokate Mwegelo Alikwenda Mbali Zaidi Kwa Kuongeza Swadaka Yakee Hiyo Baada Ya Kuwapatia Mbuzi Wawili Na Garoni Kumi Yani (10) Za Mafuta Ya Kupikia Pamoja Na Kuwapatia Nguo Ambazo Pia Alilenga Kuwafanya Na Wao Wafanane Na Wana Jamii Wengine Ktk Kipindi Hichi Cha Sikukuu Lengo Ni Kuondoa Utofauti Ambao Wangeuona Kutoka Kwao Na Wanajamii Wengine Jambo Ambalo Limekuwa Likitia Unyonge Sana Kwa Ndugu Zetu Hawa Watoto Yatima.

Ndugu Mtanzania CCM Mpya Na Tanzania Mpya Tunayotaka Kuijenga Ni Lazima Isimamiwe Na Ijengwe Ktk Misingi Ya Haki Na Usawa Na Hii Tunatakiwa Tuijengee Mahusiano Ya Moja Kwa Moja Na Jamii Zetu Kwa Kuakikisha Daima Vijana Wa CCM Kwa Pamoja Tunaendelea Kuwa Chachu Ya Jamii Iliyojengwa Chini Ya Misingi Na Usawa Na Haki Kama Imani Yetu Ya Mwana CCM Inavyotuagiza Kwamba Binadamu Wote Ni Ndugu Zangu Na Afrika Ni Moja.

Ndugu Mtanzania Kama Vijana Pia Tuna Kazi Moja Kubwa Ya Kutafuta Njia Ambazo Tutazitumia Kutatua Kero Zinazowahusu Wananchi Wetu Na Hii Inatakiwa Iwe Kwa Kupitia Chama Chetu (CCM) Ambapo Miaka Mingi Sana Tumekuwa Tukiambiwa Na Wazee Wetu Kwamba Huwezi Kukitenga Chama Chetu Hichi Na Shughuli Za Kimaendeleo Ya Kijamii, Kisiasa Na Kiuchumi Ambayo Tumekuwa Tukiyaona Hapa Nchini Kwetu Na Jamii Zetu.Sasa Nichukue Fursa Hii Kuwapongeza Idara Ya Hamasa Na Chipukizi(UVCCM) Chini Ya Mhe Kaimu Katibu Wake *Jokate Mwegelo*Kwa Kuliona Hili Na Kutambia Umuhimu Uliopo Wa Chama Chetu Kupitia Vijana Tukashuka Mbaka Chini Kabisa Kwenda Kutatua Kero Na Matatizo Ya Wananchi Na Kujenga Jamii Yenye Haki Na Usawa Ambayo Hii Ndio Imekuwa Misingi Ya Uasisi Wa Chama Chetu Ambacho Siku Zote Tumekuwa Tukiimba Ni Chama Cha Wanachama Ni Mali Ya Wanachama Wenyewe.

Aluta Continua .
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

No comments:

Post a Comment