Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi
wa Mradi wa Pro Futuro Bi. Rosemary Terry (kushoto) juu ya Vishikwambi
(Ipad) vitakavyotumika katika kufundishia shule 10 zilizopo ndani ya
jimbo la Dodoma mjini, kulia ni Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia
ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi,
Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Anthony Mavunde . (Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment