Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea mfano wa Boarding Pass kutoka kwa Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mahandisi Edwin Ngonyani
kabla ya kusafiri kwa ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL)
kutoka uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere, Dar es salaam
kwenda Dodoma Januari 16, 2017. Alikuwa akizindua safari za ndege za
shirika hilo kati ya viwanja viwili hivyo.
|
No comments:
Post a Comment