Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe Rosemary Staki, Mkuu wa Wilaya ya Mwanga Mhe Aaron Yeseya Mmbago, Mkuu wa Wilaya ya Mkinga Mhe Yona Lucas Maki, Mkuu wa Wilaya ya Lushoto Mhe Januari Sigareti Lugangika na Mkuu wa Wilaya ya Taveta Mhe
Henry Wafula wakiwa kwenye kikao
cha ujirani mwema Tsavo-Mkomazi Conservation area.
Wakuu wa
Wilaya za Same, Mwanga, Mkinga, Lushoto na Taveta za Mkoani Kilimanjaro
wamekutana kwa pamoja kujadili usalama wa wanyamapori katika mipaka ili
kulinda rasilimali za Taifa ikiwemo Tembo na Faru.
No comments:
Post a Comment