Meneja
wa Kampuni ya Mawasiliano TIGO Kanda ya Kaskazini Hendri Kinabo
Kulia,akimkabidhi treyi la mayai ya kuangulia vifaranga kama sehemu ya
msaada kwaMwenyekiti
wa kituo cha Msamaria Mwema Foundation, Folkward Mapunda
(kushoto),Hafla hiyo ilifanyika jana kituoni hapo.msaada huu unathamani
ya milioni 7.9
Meneja
wa Kampuni ya Mawasiliano Tigo Kanda ya Kaskazini,Hendri Kinabo Kulia
akimkabidhi mfuko wa chakula cha kuku mwenyekiti wa Kituo cha Msamaria
Mwema Foundation Kilichopo Rau Manispaa ya Moshi ,Folkward Mapunda huku
wa wafanyakazi wa Tigo wakishuhudia tukio hilo lilifanyika jana kituo
hapo.
Meneja wa Kampuni ya Mawasiliano Tigo Kanda ya Kaskazini, Hendri Kinabo (kulia) akimkabidhi mashine ya kuangulia vifaranga mwenyekiti wa Kituo cha Msamaria Mwema Foundation Kilichopo Rau Manispaa ya Moshi ,Folkward Mapunda huku wa wafanyakazi wa Tigo wakishuhudia tukio hilo lilifanyika jana kituo hapo
No comments:
Post a Comment