Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
katika dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya
Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi.
Rais wa
Kenya Uhuru Kenyatta akizungumza katika dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia
mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli katika Ikulu ya Nairobi.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akigonganisha
glass na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya
Nairobi nchini Kenya.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na Mke wa Rais wa Kenya
Mama Margaret Kenyatta katika dhifa hiyo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia
jambo huku akiwa amewashika mikono kwa pamoja Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta, Naibu Rais wa Kenya William Ruto na Mke wa Rais wa Kenya Mama
Margaret Kenyatta katika dhifa hiyo ya kitaifa.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
mabalozi mbalimbali wa Kenya waliohudhuria katika dhifa hiyo ya
Kitaifa.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment