Tuesday, November 29, 2016

MHE. KAIRUKI ATEMBELEWA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akibadilishana mawasiliano na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke (kulia) alipomtembelea ofisini kwake jana.
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke (wa kwanza kulia) akifurahia jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani) alipomtembelea ofisini kwake jana.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke (wa kwanza kulia) alipomtembelea ofisini kwake Jana.

No comments:

Post a Comment