Wednesday, October 5, 2016

RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe,Mwigulu  Nchemba wakati alipofika kujitambulisha kwa Rais Ikulu Mjini Zanzibar jana,[Picha na kulu.]04/10/2016.
mig2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe,Mwigulu  Nchemba wakati alipofika kujitambulisha   Ikulu Mjini Zanzibar jana,[Picha na kulu.]04/10/2016.

No comments:

Post a Comment