Mbunge
wa jimbo la kilolo Vennance Mwamoto akikabidhi vifaa vya mchezo wa mpira
wa miguu kwa wanamichezo wa kijiji cha Bomalang’ombe wakati wa mkutano
wa hadhara ulifanyika katika kijiji hicho na kulia ni wachezaji wa timu
ya kijiji cha Bomalang’ombe wakipokea jezi na mpira walizopewa na mbunge
wa jimbo la kilolo

Mbunge wa
jimbo la kilolo Vennance Mwamoto akikabidhi vifaa vya mchezo wa mpira
wa miguu kwa wanamichezo wa kijiji cha Bomalang’ombe wakati wa mkutano
wa hadhara ulifanyika katika kijiji hicho na kulia ni wachezaji wa timu
ya wanawake wa kijiji cha Bomalang’ombe wakipokea jezi na mpira
walizopewa na mbunge wa jimbo la kilolo
Mbunge wa
jimbo la kilolo Vennance Mwamoto akikabidhi vifaa vya mchezo wa mpira
wa miguu kwa wanamichezo wa kijiji cha Bomalang’ombe wakati wa mkutano
wa hadhara ulifanyika katika kijiji hicho na kulia ni wachezaji wa timu
ya kijiji cha Bomalang’ombe wakipokea jezi na mpira walizopewa na mbunge
wa jimbo la kilolo
Na Fredy Mgunda Iringa
Mbunge wa
Jimbo la Kilolo Vennance Mwamoto amegawa vifaa mbalimbali vya michezo
kama alivyowahidi kwa Vijana na timu za Jimbo hilo kwa lengo la kukuza
vipaji vya wanamichezo na kuwandeleza ili wawe wachezaji bora hapo
baadae.
Mwamoto
ametekeleza ahadi hiyo katika Vijiji mbalimbali vinanvyounganisha Jimbo
hilo la Kilolo katika ziara yake inayoendelea ya kuwashukuru wananchi
wake kwa kumchagua kwa kura nyingi na kwenda kuwaakilisha Bungeni.
Akielezea
wakati wa kutoa vifaa hivyo vya Michezo, Mwamoto amebainisha kuwa,
vifaa hivyo anavitoa ni kutokana na ahadi yake yeye kama Mbunge
aliiahidi kwa Vijana hao kuwapatia vifaa hivyo huku baadhi yao pamoja na
timu zilimuomba vifaa hivyo ambapo sasa anafanya ili kutekeleza.
“Niliahidi
kuleta vifaa vya Michezo kwa kila Kata.Lakini pia mimi mwenyewe
niliwaahidi kuwaletea vifaa na leo hii natimiza ahadi yangu kwenu.”
Alieleza Mwamoto.
Mwamoto
ameongeza kwa kusema ameamua kutoa vifaa hivyo Kwa lengo la kusaidia
Serikali katika juhudi za kuinua michezo lakini pia nisehemu ya Kazi
zake kama Mbunge.
“Mimi
nimecheza mpira kwa mafanikio ndio maana hadi sasa hivi , najua kuwa
michezo ni ajira rasmi hivyo mtu kama unakipaji kitumie kipaji chako
vizuri”. Mwamoto
Amesema
kuwa michezo licha ya kujenga utimamu wa mwili lakini pia ni ajira huku
akitoa mfano Kwa Mbwana Samatta anavyofanikiwa na leo anakipiga Ulaya.
Vifaa
hivyo vya michezo ikiwemo seti nzima za Jezi na mipira ya kuchezea ni
hatua ya kuinua na kuendeleza vipaji kwa Vijana wa Jimbo hilo ambao
wamekuwa na shauku kubwa ya kuibua vipaji vyao vya mpira wa miguu.
“Leo
nimetoa mipira na jezi hizi kwa timu za Bomalang’ombe na vijiji vya
jirani kwa timu zote za wanaume na wanawake kwa lengo la kuendeleza
vipaji vyenu”alisema Mwamoto
No comments:
Post a Comment