Mke wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli
akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Chama Mkoani Morogoro alipofika
kutembelea makazi ya kulea wazee ya Chazi yaliyopo Wilayani Mvomero
Mkoani Morogoro.
Mke wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akitembelea
na kukagua makazi ya Wazee ya Chazi yaliyopo Wilayani Mvomero Mkoani
Morogoro
Baadhi ya Misaada iliyokabidhiwa kwa wazee wanaoishi katiika makazi ya Chazi yaliyopo Wilayani Mvomero Mkoani Morogoro
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akisaini kitabu cha wageni alipofika kutembelea makazi ya kulea wazee ya Chazi yaliyopo Wilayani Mvomero Mkoani Morogoro, Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Stephen Kebwe.
No comments:
Post a Comment