Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwapa pole ndugu marehemu Dk. Didas Masaburi mapema leo Chanika,jijini
Dar es salaam.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa
pole Bw. Deogras Didas Masaburi (Ojambi) ambaye ni mtoto wa Marehemu
Dk. Didas Masaburi na Diwani wa kata ya Chanika,jijini Dar es salaam.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Profesa Philemon Sarungi mara baada ya kukutana kwenye
msiba wa Marehemu Dk. Didas Masaburi mapema leo Chanika,jijini Dar es
salaam.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa
pole na kumfariji Bi.Janeth Masaburi ambaye ni mke wa Marehemu Dk.
Didas Masaburi na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
nyumbani kwa marehemu Tabata Segerea,jijini Dar es salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (wa
pili kushoto) pamoja na viongozi wengine wa Chama Cha Mapinduzi wakimpa
pole na kumfariji Bi.Janeth Masaburi ambaye ni mke wa Marehemu Dk.
Didas Masaburi na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
nyumbani kwa marehemu Tabata Segerea,jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitia saini kwenye kitabu cha maombelezo cha marehemu Dk. Didas Masaburi nyumbani kwa marehemu Tabata Segerea,jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment