Washiriki
wa Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike wakiwa katika picha
ya pamoja jana na baadhi ya watoto wa kike wanaodhaminiwa masomo yao na
mashirika yasiyo kuwa ya kiserikali mara baada ya uzinduzi wa kongamano
hilo Mjini Shinyanga
Watoto
wanaodhaminiwa na shirika la Fema mkoani Shinyanga wakitumbuiza katika
Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa kike lilofanyika katika
Kijiji cha Kizumbi nje kidogo ya Manispaa ya Shinyanga
Wafanyakazi
wa Wizara ya Afya ,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja
na wadau kutoka mashirika yasiyokuwa ya kiserikali wakiwa katika picha
ya pamoja na Wanakijiji cha Kizumbi nje kidogo ya Manispaa ya Shinyanga
walioshiriki Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike
liliofanyika katika kijiji hicho.
Wasanii wa ngoma za asili za kisukuma wakitoa burudani katika Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike lilofanyika katika Kijiji cha Kizumbi nje kidogo ya Manispaa ya Shinyanga.
No comments:
Post a Comment