Mkuu wa
wilaya ya Muheza,Haja Mhandisi,Mwanasha Tumbo katika akiongozwa na
Diwani wa Kata ya Potwe,Rashid Mdachi na Mwenyekiti wa Serikali ya
Kijiji cha Zeneti wakitembelea Jengo jipya la Zanahati ya Zeneti
iliyojengwa kwa ushirikiana baina ya Halmashauri,Wananchi na Shirika la
World Vision na Mbunge wa Jimbo hilo ambalo limegharimu kiasi cha
milioni 35.2
Kulia ni
Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya ya Muheza,Mathew Mganga akimuongozwa Mkuu wa
wilaya ya Muheza, Hajat, Mhandisi Mwanasha Tumbo aliyetembelea zahanati
ya Zeneti kuona jinsi inayoendelea na ujenzi wake kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Zeneti
Mkuu wa
wilaya ya Muheza, Hajat, Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia akiingia kwenye
vyumba vya zahanati mpya ya Zeneti kushoto kwake ni Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Muheza,Lwiza Mlelwa
Kaimu
Mganga Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mathew Mganga kulia akisisistiza jambo
kwa Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo wa pili
kutoka kushoto kuhusu ujenzi wa zahanati hiyo katikati ni Diwani wa Kata
ya Potwe,Rashid Mdachi
Diwani wa Kata ya Potwe,Rashid Mdachi akimuonyesha kitu Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo wa pili kulia
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo katikati akisisitiza jambo kwa Diwani wa Kata ya Potwe,Rashid Mdachi
Mkuu wa
wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo katikati akiangalia
baadhi ya vyoo vya Zahanati hiyo wakati alipoitembelea kuikagua na kuona
namna ujenzi wake unavyoendelea.
Diwaniwa Kata ya Potwe,Rashid Mdachi akizungumza na wananchi katika ziara hiyo ya Mkuu wa wilaya katika Zahanati ya Kijiji cha Zeneti
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza,Luiza Mlelwa akielezea mipango ya Halmashauri kuhusiana na kuhakikisha huduma za Afya zinawakuwa karibu na wananchi.
No comments:
Post a Comment