Waziri
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista
Muhagama akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Kanali Mstaafu Shaban
Lissu mara baada ya kuwasili wilayani humo kujionea madhara ya tetemeko
la ardhi lililotokea mkoani humo.
Waziri
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista
Muhagama akioneshwa ramani ya wilaya ya Kyerwa na Mkuu wa Wilaya hiyo
Kanali Mstaafu Shaban Lissu inaonesha maeneo yaliyoathiriwa na
tetemeko la ardhi. Wa kwanza kulia ni Mbunge wa Kyerwa Innocent
Bilakwate.
Diwani wa
Kata ya Itera (CHADEMA) akimueleza Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista Muhagama ukame ulivyoathiri
mimea ya kahawa na migomba katika kata hiyo leo wilayani humo.
Waziri
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista
Muhagama akimpa maagizo Mkuu wa Wilaya Kanali Mstaafu Shaban Lissu
kuhusu kuanzisha kampeni ya kupanda mazao yanayokomaa kwa muda mfupi
wakati alipotembelea maeneo yaliyoathirika na tetemeko la ardhi
lililotokea mkoani Kagera.
Waziri
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista
Muhagama akiongea na baadhi ya wananchi wa wilaya ya Kyerwa
alipotembelea maeneo yaliyoathirika na tetemeko la ardhi lililotokea
mkoani Kagera.
Waziri
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista
Muhagama akimpa pole mwalimu Anna Mollel wa shule ya msingi Ileega
ambaye nyumba yake imebomoka kutokana na tetemeko la ardhi.
Waziri
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista
Muhagama akikagua nyumba ya mwalimu Anna Mollel wa shule ya msingi
Ileega ambaye nyumba yake imebomoka kutokana na tetemeko la ardhi.
Waziri
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista
Muhagama akiongea na baadhi ya watoto wilayani Kyerwa wakati akiwa
kwenye ziara kujionea madhara ya tetemeko la ardhi lililotokea mkoani
Kagera.
Waziri
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista
Muhagama akiongea na watoto wakati wa ziara ya kujionea maeneo
yaliyoathirika na tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera.
Waziri
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu Jenista
Muhagama akiongea na mkulima wa viazi wilayani Kyerwa Shakiru Issa
wakati wa ziara ya kujionea maeneo yaliyoathirika na tetemeko la ardhi
lililotokea mkoani Kagera.
Picha na Eleuteri Mangi, MAELEZO, Kyerwa, Kagera.
No comments:
Post a Comment