Wabunge wanastahili kuchaguliwa ndio nao wamchagua rais
Mchakato wa kuchagua bunge jipya nchini Somalia umeahirishwa.
Hatua hiyo itaathiri uchaguzi wa Urais
Hakuna
sababu iliyotolewa, lakini ripoti kutoka nchini Somalia zinasema kuwa
kuna tofauti ambazo hazijatatuliwa kuhusu ni vipi mchakato huo
utakavyoendeshwa.
Mipango ya watu kupiga kura ilitupiliwa mbali kutokana na ukosefu wa usalama na miundo msingi.
Mabunge hayo mawili yanastahili kumchagua rais ifikapo mwishoni mwa mwezi ujao.
Vilvile uchaguzi wa urais utafanyika mwezi Novemba tarehe 30.
BBC
No comments:
Post a Comment