Mkuu wa
Mkoa wa Singida, Mhandisi Mathew Mtigumwe akinyanyua mikono juu na
mkurugenzi wa Tigo kanda kaskazini, George Lugata na Meneja wa
kandakaskaziniTigo, Aidan Komba.
Mkuu wa
Mkoa wa Singida, Mhandisi Mathew Mtigumwe akipokea msaada wa madawati
335 yenye thamani ya milioni 56, toka kwa Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya
Kaskazini, George Lugata kwenye makabidhiano yaliyofanyika katika
viwanja vya mkuu wa mkoa jana.
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhandisi Mathew Mtigumwe akiwa ameketi kwenye dawati mara baada ya kukabidhiwa madawati 335 yenye thamani ya milioni 56, kulia ni mkurugenzi wa Tigo kanda ya kaskazini, George Lugata na mwanafunzi wa shule ya msingi Minga, Ali Saidi.
No comments:
Post a Comment